Home KIMATAIFA NEO GIFT MAEMA AMEICHAGUA SIMBA

NEO GIFT MAEMA AMEICHAGUA SIMBA

759
0

“Tulipokea ofa nyingi sana za hapa Afrika kusini kutoka kwa vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates na vingine vingi lakini vya nje ya Afrika kusini vikihitaji huduma ya Neo Maema”

“Tumechagua Simba Sc kwasababu timu hiyo ya Tanzania mipango yake imetuvutia kwanza wanaweza kupigania ubingwa wa ligi lakini wanashiriki mashindano ya CAF kwa ushindani mkubwa hii itatoa fursa kubwa kwa mteja wangu kua imara na kucheza vizuri”

steve kapeluschnik, Wakala wa nyota mpya wa Simba SC Neo Maema

Advertisement

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here