Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Yanga Yaondoka Mapema Kuwawahi Waarabu Algeria
    KITAIFA

    Yanga Yaondoka Mapema Kuwawahi Waarabu Algeria

    ChikaoBy ChikaoNovember 24, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    yanga
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MSAFARA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pedro unatarajiwa kuanza safari mapema leo Novemba 24,2025 kuelekea nchini Algeria.

    Yanga SC baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS FAR Rabat ina kibarua kingine kwenye kundi B Novemba 28,2025 mchezo wa kwanza ugenini katika hatua ya makundi.

    Ipo wazi kuwa ni Prince Dube alifunga bao la ushindi kwenye mchezo uliopita Uwanja wa New Amaan Complex akitumia pasi ya kiungo Mudathir Yahya.

    Inatajwa kuwa Yanga SC wanahitaji kuondoka mapema ili kufanya maandalizi mazuri kwa wakati na kupata matokeo kwenye mchezo ujao.

    Leo Yanga SC wataanza safari kuelekea Algeria ambapo watakwenda kukabiliana na JS Kabylie iliyotoka kupoteza kwa kufungwa mabao 4-1 dhidi ya vinara wa kundi A l Ahly ya Misri.

    Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSimba Yapoteza Mbele ya Petro de Luanda, Yaburuza Mkia Kundi la CAFCL
    Next Article Uwanja wa Mkwakwani Tanga Wafungiwa na Bodi ya Ligi

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.