
Kimataifa
Ronaldo kumsogeza Lewandowski Al-Nassr
Cristiano Ronaldo ameishauri klabu yake ya Al-Nassr kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Robert Lewandowski ambaye atapatikana bila malipo mwishoni mwa msimu wa 2025-26. Mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanywa na Barcelona kuhusu mustakabali wa Lewandowski, lakini inafahamika kuwa huu utakuw














