Jina la kocha wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho linatajwa huenda likarejea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati huu ambapo mazungumzo yanaendelea ili akinoe kikosi cha Benfica. Benfica ilimtimua kocha wao siku ya Jumanne usiku kufuatia kipigo cha 3-2 walichokipata kutoka kwa klabu ya Qarabag ya Az
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta anasema mazungumzo ya kandarasi za Bukayo Saka na William Saliba yanakwenda vizuri. Wachezaji hao wawili muhimu wa Arsenal mikataba yao inategemewa kutamatika 2027, na sasa Washika Bunduki hao wa jiji la London wapo kwenye majadiliano mazito na wachezaji hao ili waweze
Pep Guardiola amepinga madai ya kocha wa Liverpool Arne Slot kwamba mchezaji wake mpya Alexander Isak ya kwamba ndiye mshambuliaji bora zaidi duniani, huku akisema anamuweka mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland juu kidogo ya Isak. Guardiola aliongea hayo jana Ijumaa alipokuwa akijibu maswa
Mchezaji wa zamani Nigeria Mikêl Obi ameunga mkono suala la nyota wa zamani wa taifa hilo Jay Jay Okocha kuhitaji kuwa Rais wa shirikisho la soka nchini humo. Mikêl Obi “Ninajiunga na watu wa nigeria walio ughaibuni kumtawaza bwana, Austin Jãy Okōcha kama mwenyekiti mpya wa Ñff, nataka turudi nyumba
Memphis Depay amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa Uholanzi. Alifikia hatua hii muhimu wiki hii Septemba 7, 2025, wakati wa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA dhidi ya Lithuania, ambapo alifunga mara mbili na kuiongoza timu yake kushinda 3-2. Mabao hayo yalimfanya mshambuliaji huyo mw
Je ni nani mchezaji wako bora kwenye wafungaji bora timu za Taifa hapa Afrika. Wachezaji kibao wanaendelea kuweka rekodi zao huku wengine wakiendelea kuzifukuzia rekodi hizo. Wakati huo huo Meridianbet inakukaribisha kutengeneza jamvi lako la ushindi hapa. Mabingwa watetezi wa Afcon 2023, Ivory Coas
Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imeendelea kuweka hai matumaini ya kufuzu kombe la Dunia 2026 (WC 2026) baada ya kushinda mechi yake ya pili mfululizo ikiilaza Msumbiji 4-0 Septemba 5, 2025 kabla ya kuitandika Somalia 2-0. Allan Okello ameendelea kung’ara akiwa na The Cranes baada kutupia tena
Kinda wa Klabu ya Ajax, Aaron Bouwman anaripotiwa kuvivutia vilabu vikubwa duniani. Kwa mujibu wa taarifa, kinda huyo mwenye umri wa miaka 18 anafuatiliwa na Chelsea, Manchester United, Barcelona, Liverpool na Manchester City. Beki huyo wa kati alijiunga na Ajax mwaka 2018 na akacheza kwa mara ya
Barcelona wako tayari kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kumnunua nahodha wa Crystal Palace Marc Guehi ambaye pia anawaniwa na Liverpool pamoja na Real Madrid. Guehi mwenye umri wa miaka 25 amebakiza mwaka mmoja pekee katika mkataba wake na Crystal Palace, ataweza kusaini mkataba wa awali wa kandaras
Ikiwa imetajwa kuwa huenda ilikuwa mechi yake ya mwisho ya ushindani akichezea nyumbani, Lionel Messi alifunga mabao mawili na kuiongoza Argentina kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Venezuela katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA kwenye Uwanja wa Estadio Monumental jijini Buenos Aires Alfaji
Nchini Brazil kumeibuka simulizi ya kushtua baada ya bilionea mwenye umri wa miaka 31 kutoka jimbo la Rio Grande do Sul kuamua kumwachia nyota wa soka Neymar Jr mali zake zote, licha ya wawili hao kutokuwa na uhusiano wowote wa karibu au hata kukutana ana kwa ana. Kwa taarifa za vyombo vya habari vy
Klabu ya AS Monaco imemjumuisha mchezaji Paul Pogba katika kikosi kitakachoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu wa 2025/26. Pogba ambaye alijunga na Monaco kama mchezaji huru mwishoni mwa mwezi Juni baada ya kumaliza kifungo chake cha miaezi 18 alichohukumiwa kwa kosa la kutumia m
Nyota wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard ametupilia mbali mastaa Cristiano Ronaldo, Lamine na Neymar huku akimtaja Lionel Messi kuwa ndiye mpiga chenga mkali kuliko yeye. Hazard alizungumza hayo katika video iliyorushwa kwenye akaunti ya X ya UEFA Champions League. Kwenye video hiyo mw
Beki wa zamani wa Real Madrid Sergio Ramos ameachia wimbo unaoitwa “Cibeles” akiimba mambo ya kihisia mengi kama sintofahamu ya yeye kuondoka Madrid. Ramos hakutaka kuondoka kamwe. Ndoto yake ilikuwa kustaafu katika jezi nyeupe Madrid. Lakini hadithi haikuisha jinsi inavyopaswa kuwa, hakuna kwaheri
Marc Guehi ni rasmi atasalia Crystal Palace licha ya kufanyika kwa makubaliano ya kujiunga na klabu Liverpool mapema siku ya leo kabla ya Crystal Palace kubadilisha mawazo ya kumuachia baada ya kumkosa mbadala wake. Beki huyo alikamilisha vipimo vya afya baada ya ada ya ofa kukubaliwa lakini dili hi