Home KIMATAIFA UGANDA CRANES YAZIDI KUSHUSHA PRESHA KWA ALGERIA KUNDI G

UGANDA CRANES YAZIDI KUSHUSHA PRESHA KWA ALGERIA KUNDI G

88
0

JIUNGE KWENYE WHATSAPP CHANNEL YA SIMULIZI ZA SAUTI ZA WAKUBWA TU BONYEZA HAPA KUJIUNGA

Timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ imeendelea kuweka hai matumaini ya kufuzu kombe la Dunia 2026 (WC 2026) baada ya kushinda mechi yake ya pili mfululizo ikiilaza Msumbiji 4-0 Septemba 5, 2025 kabla ya kuitandika Somalia 2-0.

Allan Okello ameendelea kung’ara akiwa na The Cranes baada kutupia tena dhidi ya Somalia kwa mkwaju wa penalti huku Jude Ssemugabi akifunga bao la pili katika dimba la Mandela, Kampala.

FT: Uganda 🇺🇬 2-0 🇸🇴 Somalia
⚽ 06’:Okello (P)
⚽ 39’ Ssemugabi

FT: Guinea 🇬🇳 0-0 🇩🇿 Algeria
FT: Guinea-Bissau 🇬🇼 2-0 🇩🇯 Djibouti
FT: Madagascar 🇲🇬 3-1 🇹🇩 Chad
FT: Malawi 🇲🇼 2-2 🇱🇷 Liberia

MSIMAMO KUNDI G
1- 🇩🇿 Algeria 19pts
2- 🇺🇬 Uganda 15pts
3- 🇲🇿 Msumbiji 15pts
4 – 🇬🇳 Guinea 11pts
5- 🇧🇼 Botswana 9pts
6- 🇸🇴 Somalia 1pt

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here