Mashabiki wa Sporting CP wametoa jumbe za majibu yao kwa mshambuliaji wa kimataifa Viktor Gyokeres huku nyota huyo wa Sweden akikaribia kuhamia Arsenal kwa pauni milioni…
Browsing: KIMATAIFA
Kinda mahiri wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ametia saini mkataba mpya wa muda mrefu na klabu hiyo, ambao utamuweka Camp Nou hadi tarehe 30 Juni 2031.…
Rulani Mokwena ametambulishwa rasmi na MC Alger kuwa kocha mkuu wa Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Nchini Algeria akichukua nafasi ya Khaled Ben Yahiam aliyepewa…
FIFA Club World Cup 2025 mashindano haya yalianza kurindima Juni 14 na kugota mwisho Julai 13 2025 ambapo ni Chelsea kutoka England ilitwaa taji hilo mbele…
Percy Muzi Tau amefikia makubaliano kuvunja mkataba wake na Qatar SC baada ya miezi Sita tu klabuni hapo… Tau sasa ni mchezaji huru sokoni anaweza kujiunga…
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesaini rasmi leo kuwa kocha mpya wa Bayer Leverkusen. Klabu ya Bayer Leverkusen imethibitisha kuwa…
KIUNGO mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Wydad Casablanca, Aziz Ki tayari ameanza mazoezi na timu hiyo mara baada ya kumtambulisha. Ikumbukwe kwamba Ki aliibuka ndani…
Alonso aliyekuwa mchezaji na mshindi wa taji la Ligi ya Mabingwa akiwa na Real Madrid anaenda kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wake akiwa Madrid Carlo Ancelotti…