Ripoti kutoka nchini Kenya zinadai kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini humo wameanza zoezi la ununuzi wa tiketi za mchezo wa Tanzania dhidi ya Kenya.
Lengo lao ni kuwa siku ya mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco uwanja usiwe na mashabiki kwasababu tiketi zitakuwa zimenunuliwa nyingi na hakuna aliyeingia.