Tume ya Uchaguzi mkuu Tanzania INEC kupitia Halmshauri mbalimbali imetoa Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili kusimamia wapiga kura na kuongoza zoezi la kupiga kura
Hapo chini kuna PDF ya majina walioitw kwenye usaili halmashauri mbalimbali:
- Halmshauri ya Rombo
- Manispaa ya Bukoba Mjini
- Manispaa ya Newala Mjini
- Halmashauri ya Lindi Mjini
- Jimboa la Dodoma mjini
- Wilaya ya Kisarawe
- Halmshauri ya wilaya ya Bagamoyo
- Jimbo la Lulindi na Ndanda
- Jimbo la Mbeya Vijijini
- Jimbo la Mtumba
- Halmashauri ya Mbulu
- Musoma Vijijini
- Wilaya ya Nkasi
- Wilaya ya Korogwe
- Pangani
- Kilosa
- Jimbo la Hai
- Jimbo la Kasulu vijijini
- Mtwara Mjini
- Tabora Mjini
- Mkuranga
- Buhigwe















Ya mkoa wa dar es salaam mbn sijayaona
Ukiyapata nijulishe ndugu
Sawa boss wala usiwaze tutayapost, endelea kutembelea website yetu bora
Jamn ya dar es salaam Yako wap?