Msemaji wa Yanga SC, Ali Kamwe, ametoa mtazamo wake kuhusu mjadala wa kurejea kwa Mbwana Ally Samatta katika kikosi cha Taifa Stars, akisema uamuzi wa mshambuliaji huyo kujitenga na timu ya taifa ulitokana kwa kiasi kikubwa na hasira zilizochochewa na namna alivyokuwa akitendewa na baadhi ya mashabi
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Shilingi Milioni 100 kwa kila goli watakalofunga Taifa Stars siku ya leo dhidi ya Uganda na ile ya Tunisia Desemba 30 katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchin
Rais wa TFF, Wallace Karia ametembelea mazoezi ya Timu ya Taifa @Taifastars_ inayojiandaa na mchezo wa kirafiki kwenye kalenda ya FIFA dhidi ya Kuwait utakaochezwa Novemba 15,2025 Nchini Misri. Taifa Stars ambao wameingia kambini siku ya jana wanafanya mazoezi katika dimba la Gymkhana kabla ya kusaf
Mkuu wa mkoa wa Dar es saalam Albert Chalamila ametoa ahadi ya zawadi ya gari aina ya Crown kwa kipa wa Taifa Stars endapo hatoruhusu goli katika mchezo wa leo dhidi ya Morocco. Sambamba na hilo pia mechi ya leo kila goli litanunuliwa kwa Sh Milioni 5 huku mfungaji wa goli atakabidhiwa Sh Milioni 1
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Agosti 22 2025 ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Morocco ikiwa ni CHAN 2024. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa mbili usiku huku benchi la ufundi la Stars likibainisha kuwa lipo tayari kuhakikish
Ripoti kutoka nchini Kenya zinadai kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini humo wameanza zoezi la ununuzi wa tiketi za mchezo wa Tanzania dhidi ya Kenya. Lengo lao ni kuwa siku ya mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco uwanja usiwe na mashabiki kwasababu tiketi zitakuwa zimenunuliwa nyingi na hakuna al
Mdau maarufu wa mchezo wa mpira wa miguu Nchini Haji Manara amewajibu waandishi wa habari wa Kenya waliosema Taifa Stars wameumaliza mwendo kwenye mashindano ya CHAN baada ya kupangwa na Morocco. “Kwani Sisi Tanzania ni Majirani wa Kenya au Watani zetu ? Au Siku hizi ni Mahasimu wa jadi? Na nani kaw
Burudani za CHAN 2024 zinaendelea hii leo kwa michezo miwili muhimu kupigwa kwenye Kundi A, mechi zote mbili zitapigwa mapema majira ya saa 9 Alasiri katika viwanja viwili tofauti. Kwenye dimba la Nyayo utapigwa mchezo kati ya DR Congo dhidi ya Morocco, timu zote zikiwa na alama 6 na kuwania nafasi
Jicho la kiungo mkabaji wa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ Ahmed Bakari ‘Pipino’ @_ahmed_pipino limevimba baada ya kupigwa kiwiko katika mchezo wa jana wa Stars dhidi ya Mauritania. Pipino alipata jeraha hilo lililomfanya ashindwe kuendelea na mchezo huo na akatolewa na nafasi yake a
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhi Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kitita cha shilingi milioni 20 (Goli la Mama) baada ya kuifunga Burkina Faso 2 – 0 katika ufunguzi wa Mashindano ya CHAN Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkap
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kwa jina la FA amebainisha kuwa timu ya Tanzania ipo vizuri. Hayo alisema mara baada ya Tanzania kupata ushindi dhidi ya Uganda. Mwinjuma amesema kwenye mpira wa miguu lolote linaweza kutokea. Ikumbukwe kwamba kwenye mashinda
KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinaendelea na mazoezi kwenye kambi yake nchini Misri kujiandaa na Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) zinazotarajiwa kuanza Agosti 2 hadi 30, mwaka huu. Taifa Stars imekuwa ikifanya mazoezi viwanja vya Mercure Jijini Ismailia, Mi