Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » HIKI HAPA KIKOSI KAMILI CHA YANGA 2025/26 | WACHEZAJI WOTE WA YANGA
    KITAIFA

    HIKI HAPA KIKOSI KAMILI CHA YANGA 2025/26 | WACHEZAJI WOTE WA YANGA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 10, 202502 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kikosi Kamili cha Yanga 2025/26
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kikosi Kamili cha Yanga 2025/26 | Wachezaji Wote wa Yanga

    Licha ya kuibuka na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, timu ya wananchi Young Africans SC (Yanga SC) imeendelea kuonesha kiu na dhamira ya kutaka kurudia mafanikio hayo kwa kishindo msimu wa 2025/2026.

    Uongozi wa klabu umefanya maboresho makubwa katika kikosi, wakisajili wachezaji wapya na kuimarisha nafasi muhimu ili kuhakikisha timu inabaki kwenye ubora wake wa ndani na kimataifa.

    Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano ya kimataifa unatarajiwa kuanza rasmi tarehe 17 Septemba 2025, na tayari mashabiki wa Yanga wana shauku kubwa kuona mastaa wao wapya na wa zamani wakipambana uwanjani.

    Katika makala hii tumekuandalia orodha kamili ya Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga ikiwa na majina ya wachezaji wote waliopo kikosini, nafasi wanazocheza pamoja na mataifa wanayotokea.

    wiki ya wananchi yanga

    Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga

    Jina la Mchezaji Nafasi Taifa
    Djigui Diarra Kipa Mali
    Khomeiny Abubakar Kipa Tanzania
    Abuutwalib Mshary Kipa Tanzania
    Ibrahim Hamad Beki wa Kati Tanzania
    Dickson Job Beki wa Kati Tanzania
    Bakari Mwamnyeto Beki wa Kati Tanzania
    Shaibu Mtita Beki wa Kati Tanzania
    Mohamed Hussein Beki wa Kushoto Tanzania
    Nickson Kibabage Beki wa Kushoto Tanzania
    David Bryson Beki wa Kushoto Tanzania
    Chadrack Boka Beki wa Kushoto DR Congo
    Kouassi Yao Beki wa Kulia Ivory Coast
    Israel Mwenda Beki wa Kulia Tanzania
    Issack Mtengwa Beki wa Kulia Tanzania
    Kibwana Shomari Beki wa Kulia Tanzania
    Moussa Balla Conté Kiungo wa Ulinzi Guinea
    Omary Mfaume Bibo Kiungo wa Kati Tanzania
    Aziz Andabwile Kiungo wa Ulinzi Tanzania
    Abdul Nasir Asaa Mohammed Kiungo wa Kati Tanzania
    Salum Abubakar “Sure Boy” Kiungo wa Ulinzi Tanzania
    Mudathir Yahya Kiungo wa Kati Tanzania
    Mohamed Doumbia Kiungo wa Kati Ivory Coast
    Jonas Mkude Kiungo wa Kati Tanzania
    Shekhani Khamis Kiungo wa Kati Tanzania
    Duke Abuya Kiungo wa Kati Kenya
    Clatous Chama Kiungo Mshambuliaji Zambia
    Lassine Kouma Kiungo Mshambuliaji Ivory Coast
    Denis Nkane Kiungo Mshambuliaji Cameroon
    Faridi Mussa Winga wa Kushoto Tanzania
    Celestine Ecua Winga wa Kushoto DR Congo
    Maxi Nzengeli Winga wa Kushoto DR Congo
    Edmund Godfrey John Winga wa Kushoto Tanzania
    Pacome Zouzoua Winga wa Kulia Ivory Coast
    Jonathan Ikanga Lombo Winga wa Kulia DR Congo
    Offen Chikola Winga wa Kulia Zambia
    Prince Dube Mshambuliaji wa Kati Zimbabwe
    Andy Boyeli Mshambuliaji wa Kati DR Congo
    Jean Baleke Mshambuliaji wa Kati DR Congo
    Clement Mzize Mshambuliaji wa Kati Tanzania
    Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 10,2025
    Next Article KOMBE LA DUNIA 2026: WAFUNGAJI BORA AFRIKA WATAWAPELEKA WAPI MATAIFA YAO?

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.