KIMATAIFA

BELLINGHAM ASHUKURU MADAKTARI KUFANIKISHA UPASUAJI

Mchezaji wa Real Madrid, Jude Bellingham kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha akiwa kweye kitanda cha Hospitali ikiwa ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa jeraha la bega ambalo litamuweka nje mpaka mwezi October.

Kwenye chapisho lake amewashukuru manesi na madaktari walioshiriki kufanikisha upasuaji huo.

Leave a Comment