Home KITAIFA MAX NZENGELI NI MALI YA WANANCHI HADI 2027

MAX NZENGELI NI MALI YA WANANCHI HADI 2027

154
0
Nzengeli

Klabu ya Yanga imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao raia wa DR Congo Maxi Mpia Nzengeli wa kuendelea kusalia kwa Mabingwa hao wa Nchi hadi mwaka 2027.

Nyota huyo alijiunga na wananchi mwaka 2023 akitokea Union Maniema inayoshiriki ligi kuu ya nyumbani kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here