Klabu ya Liverpool imekmilisha mazungumzo na klabu ya Newcastle United ili kuinasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak ukitarajia kuwa usajili utakaoweka historia kwenye Ligi kuu ya Uingereza. Isak mwenye umri wa miaka 25 siku ya leo atakamilisha taratibu za kuhamia Anfield ikiwa ni pamoja na kufan
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro، Nurdin Babu (Kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa Kanali Geoffrey Mvula (kushoto) Mwenyekiti wa timu za JKT katika hafla ya kuiga timu ya JKT Queens FC kuelekea kwenye mashindano ya CECAFA، Nairobi nchini Kenya. Hafla hiyo imefanyika mjini Moshi ambapo JKT Queens iliweka
MSIMU mpya wa Kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam, mechi hizo zikitarajiwa kutangazwa mubashara na kituo cha radio cha Times FM. Times FM imeingia ubia na Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati (
AC Milan wamemsajili Christopher Nkunku kutoka Chelsea kwa mkataba ambao unaweza kufikia pauni milioni 36. Nkunku mwenye umri wa miaka 27 ametia saini mkataba wa miaka 5 na kufanya mauzo ya Chelsea msimu huu kufikia pauni milioni 314. Nkunku anaondoka akiwa amefunga mabao 18 katika mechi 62 tangu as
Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 46. Garnacho mwenye umri wa miaka 21, amesaini mkataba wa miaka 7 utakaomuweka Stamford Bridge hadi mwezi Juni mwaka 203
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema hajui nini kitatokea kwenye ajira yake wakati wa mapumziko ya kimataifa. Akijibu maswali ya wanahabari jana Ijumaa, kama alikuwa na uhakika wa kutofukuzwa wakati wa mapumziko ya kimataifa, alijibu: “Sijui nini kitatokea” “Matamanio yangu ni kuendelea
MASHINE za kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26 zimewasili ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz. Yanga SC ipo kambini Kigamboni kwa maandalizi ya msimu mpya ambapo mchezo wa ufunguzi ni Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC, Septemba
Klabu Fenerbahce wameamua kumfuta kazi kocha wao Jose Mourinho. Klabu hiyo ya Uturuki imeamua kuachana na Mourinho ikiwa ni siku mbili baada ya klabu hiyo kuondolewa na Benfica katika mchujo wa Ligi ya Mabingwa. Meneja huyo wa zamani wa Chelsea, Manchester United, na Tottenham alijiunga na Fenerbahc
Bodi ya Ligi kuu Tanzana (TPLB) imetangangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2025/2026 inayotarajiwa kuanza Septemba 17 2025 na kumalizika May 23 2026. Katika ratiba hiyo, mchezo mkubwa wa dabi ya kariakoo kati ya Simba dhidi ya Yanga mzunguko wa kwanza ukipangwa kuchezwa tarehe
INATAJWA kuwa Simba SC imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya JKT Tanzania, Wilson Nangu kwa mkataba wa miaka miwili. Hivyo beki huyo aliyekuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga SC huenda msimu mpya wa 2025/26 akawa kwenye uzi wa Simba SC. Nangu ame
Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 unatarajiwa kuanza rasmi Septemba 17, 2025 kwa michezo miwili ya ufunguzi. KMC FC wataikaribisha Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, huku Coastal Union wakifungua pazia lao kwa kuvaana na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Mk
RASMI Simba SC imemtambulisha mshambuliaji mpya ambaye atakuwa katika kikosi hicho kwa msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja. Nyota huyo ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Singida Black Stars alihudumu Fountain Gate kwa mkopo kisha aliuzwa Wydad Casablanca ya Morocco, ana
Gwiji wa soka wa Uholanzi, Ruud Gullit amesema tatizo la Manchester United lipo kwenye klabu na si kuhusu wachezaji. Kulingana na gwiji huyo wa soka, tatizo la Manchester United ni Manchester United na si kwa wachezaji. Alisema jinsi klabu imekuwa ikiendeshwa tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson, nd