Ruka hadi maudhui
SOKALEO

FIFA YAWAONDOLEA SINGIDA BLACK STARS ADHABU YA KUTOSAJILI

Chikao
FIFA YAWAONDOLEA SINGIDA BLACK STARS ADHABU YA KUTOSAJILI

FIFA imewaondolea Singida Black Stars,adhabu ya kutosajili baada ya kulipa madeni yote ya wachazaji wao watatu.

Awali Singida walikumbana na Rungu la FIFA baada ya kushindwa kulipa Stahiki za wachezaji wao watatu ambao ni Mbaraka Hamza,Amade Momade na Manu Bola.

Ila kwa sasa Singida wako huru kusajili kwani kila kitu kimewekwa sawa

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13