Home KIMATAIFA SOKA LA LAMINE YAMAL, CHACHU YA KUWAKUTANISHA WAZAZI

SOKA LA LAMINE YAMAL, CHACHU YA KUWAKUTANISHA WAZAZI

311
0
Screenshot

Lamine Yamal pichani na Wazazi wake wote wawili ambao wametengana huku Mama yake akiwa ameolewa tayari, lakini kwasasa wanakutanishwa zaidi na Mtoto wao katika shughuli mbalimbali ikiwemo za maisha yake ya mpira, wawili hao pia walisafiri pamoja na Mtoto wao kwenye Ndege ya kukodi kuelekea nchini China kwa ajili ya tukio la kibiashara la Mtoto wao.

Ikumbukwe Mama yake Lamine tayari ana Mtoto mwingine kwenye ndoa yake mpya, huku Mzazi mwenzake akiwa bado anadunda tu Mwarabu wa Morocco.

Japo sina maana hiyo na naelewa unachowaza ila sidhani kama inawezekana maana inaonekana ana misimamo sana

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here