Home KITAIFA LIGI KUU MSIMU WA 2025/2026 KUREJEA RASMI SEPT 16

LIGI KUU MSIMU WA 2025/2026 KUREJEA RASMI SEPT 16

513
0
Taifa Stars

Bodi ya ligi kuu soka Tanzania bara imetangaza rasmi kuwa msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara utaanza Septemba 16,2025.

Kwa namna heka heka za usajili zilivyo mpaka sasa unadhani ni timu gani ina uwezo wa kutwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2025/26?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here