Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป SIMBA YASHUSHA RASMI CHUMA KIPYA
    KITAIFA

    SIMBA YASHUSHA RASMI CHUMA KIPYA

    ChikaoBy ChikaoAugust 14, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi mchezaji Naby Camara raia Guinea kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Al Waab ya Qatar aliyojiunga nayo akitokea CS Sfaxien ya Tunisia.

    Camara mwenye umri wa miaka 23 ana uwezo mkubwa wa kucheza kama mlinzi wa kushoto na kiungo mkabaji tayari amejiunga na kambi ya Simba inayoendelea nchini Misri na alikuwepo kwenye kikosi kilichoibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Karhaba SC wikiendi iliyopita.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleODDS KUBWA NA USHINDI WA AJABU NA BET BOOST YA MERIDIANBET
    Next Article YANGA YATOA UFAFANUZI KUHUSU MCHANGO WA CCM WA SHILINGI MILIONI 100

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.