Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป CHUMA CHA SIMBA, NEO MAEMA KIMEAGWA RASMI MAMELODI
    KITAIFA

    CHUMA CHA SIMBA, NEO MAEMA KIMEAGWA RASMI MAMELODI

    ChikaoBy ChikaoAugust 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Neo Maema
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Timu ya Mamelodi Sundowns imemuaga rasmi mchezaji wao, Neo Maema aliyetumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka 4.

    Kwa sasa, Maema yupo kambini na timu ya taifa ya Afrika Kusini kwenye michuano ya CHAN, akisubiri mashindano hayo kumalizika ili ajiunge na kambi ya klabu yake mpya.

    Duru mbalimbali za habari zimekuwa zikiripoti kiungo huyo yupo mbioni kujiunga na Wekundu wa Msimbazi Simba, kuja kuongeza nguvu kwenye nafasi ya kiungo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePOGBA KUREJEA UWANJANI, AANZA MATIZI NA AS MONACO
    Next Article WACHEZAJI WA CHELSEA WATOA BONASI ZAO KWA FAMILIA YA DIOGO JOTA

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.