Ruka hadi maudhui
SOKALEO

ZAHERA AFUNGUKA ALIKATAA MZIZE ASIENDE SINGIDA

Chikao
ZAHERA AFUNGUKA ALIKATAA MZIZE ASIENDE SINGIDA

“Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye Mfumo ‘system’ ya TFF ila ni mimi nikamwambia Nabi usikubali huyo Mtoto aende Singida.”

“Walitaka kumtoa wakati hajafanya hata mazoezi na timu kubwa.Hata Marseille walipotuma barua kumtaka, wao wakasema tumpeleke Singida tu maana Wachezaji watapatikana wengine”

Mwinyi Zahera, Kocha wa zamani wa Young Africans kuhusu sakata la Mzize alipoihojiwa na Kituo cha ITV

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13