
Kitaifa
ALI KAMWE AMETOA AHADI HII YANGA DAY 2025
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe ameahidi kuishitua Dunia Keshokutwa katika kilele cha Wiki ya Mwananchi itakayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye ni mrithi wa mikoba ya Miloud Hamdi aliyekiongoza kikosi hicho kutwaa taji la ub














