
Kitaifa
TAKWIMU YA ROMAIN FOLZ KATIKA MECHI 6 AKIWA YANGA
WAKATI tetesi zikieleza kuwa huenda Romain Folz akafutwa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC rekodi zinaonyesha kuwa amekiongoza kikosi kwenye mechi 6. Katika mechi hizo ushini ni mechi tano na aliambua sare mchezo mmoja wa ligi ugenini dhidi ya Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Sababu k













