Home KITAIFA Dahane Beida hakimu mechi ya Tars na Morocco kesho.

Dahane Beida hakimu mechi ya Tars na Morocco kesho.

197
0

Dahame Beida refa wa kimataifa mwenye Beji ya FIFA toka nchini Mauritania ameteuliwa kuwa Refa wa VAR katika mchezo wa kesho wa dhidi ya Morocco katika michuano ya CHAN.

Beida alishawahi kuchezesha mechi kati ya Yanga na Mamelod akakataa goli la Azizi ki lakini pia mechi ya Simba na Berkane akampa kagoma kadi nyekundu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here