
Kimataifa
Mchezaji aanguka na kufariki Burundi
Aime Bigiraneza, mchezaji chipukizi wa klabu ya daraja la pili ya Burundi Les Gêpiers du Lac, alianguka uwanjani na afariki dunia juzi tarehe 20 Desemba 2025. Kisa hicho kilitokea wakati wa mechi ya ligi dhidi ya Amasipiri Never Give Up FC kwenye Uwanja wa kituo cha Ufundi mjini Bujumbura. Bigiranez














