
Kimataifa
BENCHIKHA NA CHE MALONE WANALITAKA KOMBE
Kocha wa zamani wa Simba SC, Abdelhak Benchika, anaendelea kuonyesha umahiri wake nchini Algeria baada ya kuiongoza klabu yake ya USM Alger kukaa kileleni mwa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Chini ya uongozi wake, USM Alger imefanikiwa kukusanya alama t














