Real Madrid imeendelea kuonyesha nguvu zake kwenye Laliga, baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Deportivo Alavés katika mechi iliyofanyika leo. Huu ni ushindi muhimu ambao unasaidia Real Madrid kushikilia nafasi ya pili katika msimamo wa ligi, ikiwa alama nne nyuma ya vinara Barcelona. Kylian Mbappé amefu
Vin Diesel amethibitisha hadharani kwamba staa wa soka Cristiano Ronaldo anaweza kushiriki katika filamu ijayo ya Fast & Furious, ambayo huenda ikawa ni sehemu ya mwisho, Fast X: Part 2. Kupitia chapisho la Instagram lenye picha ya wawili hao wakiwa pamoja, Diesel aliandika: “Kila mtu aliuliza, ange
Baada ya jana kutoa asisti ya goli la pili la Hugo Ekitike kwenye ushindi wa 2-0 wa Liverpool dhidi ya Brighton, Mohamed Salah sasa amekuwa mchezaji wa tatu kwa wachezaji waliochangia mabao mengi wa muda wote wa Ligi Kuu Uingreza, akiwa amewapita Frank Lampard na Ryan Giggs huku akiwa amechangia mab
Mshambuliaji wa zamani wa klabu za TP Mazembe, AS Vita Club na Yanga SC, Chico Ushindi Wakubanza, amefariki dunia leo mchana akiwa nyumbani kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Chico Wakubanza alikuwa mmoja wa washambuliaji waliopata heshima kubwa katika soka la Afrika na Kati na Mashariki,
Mchezaji wa zamani wa Yanga anayekipiga klabu ya Wydad kwa sasa Stephane Aziz Ki ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Instagram akimtakia kila la kheri mke wake mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mobetto katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Aziz Ki ambaye alifunga ndoa na mwanamitindo h
Alphonso Davies alipata shangwe kutoka kwa mashabiki wa Bayern Munich na kukumbatiwa na wachezaji wenzake baada ya kurejea kutoka kwa jeraha la ACL (anterior cruciate ligament) baada ya siku 262. Beki huyo wa kushoto wa Kanada aliingia kama mbadala wa Serge Gnabry dakika ya 88 wakati Bayern iliposhi
Kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua hajajumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kitakachoshiriki fainali za mataifa ya Afrika AFCON zinazotarajia kuanza kurindima mwisho wa mwezi huu nchini Morocco. Pacome aliitwa hivi karibuni kwenye kampeni za kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za kombe
Mchezaji wa Mbeya City, Vitalis Mayanga amefungiwa kucheza mechi tano sambamba na kutozwa faini ya Tsh Milioni 1 kwa kosa la kumpiga kiwiko beki wa kushoto wa Simba, Anthony Mligo kwenye mchezo wa ligi kuu uliopigwa katika dimba la Meja Isymuhyo disemba 4 mwaka huu. Uamuzi huo umetolewa na Kamati ya
Real Madrid walizomewa walipolala kwa mabao 2-0 wakiwa nyumbani dhidi ya Celta Vigo katika mechi waliyomaliza wakiwa na wachezaji tisa. Celta walikuwa mkiani mwa La Liga kabla ya safari yao ya Bernabeu Jumapili usiku na bila ushindi wa ligi dhidi ya Real Madrid katika mechi 22. Lakini mabao ya Willi
Nyota wa Timu ya Taifa ya Brazil na klabu ya Santos Neymar Jr siku ya jana alifanya maamuzi ya kucheza mchezo muhimu wa klabu yake wa vita ya kujinusuru kushuka daraja licha ya jeraha la goti alilonalo ambalo alitakiwa kufanyiwa upasuaji. Neymar Jr siku kadhaa zilizopita aliripotiwa kupata jeraha ji
Rais wa klabu ya Estudiantes Juan Sebastian Veron amepigwa marufuku ya miezi sita na Chama cha Soka cha Argentina kwa sababu alikataa kusimama kutoa heshima kwa mabingwa wapya Rosario Central. Kiungo huyo wa zamani wa Manchester United na Chelsea pamoja na wachezaji wake wa Estudiantes walikuwa waki
Florent Ibenge Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji walijitoa kwa asilimia kubwa licha ya kukosa matokeo kwenye mchezo wa CAF Confideration Cup. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ulisoma Azam FC 0-1 Wydad Casablanca ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Bao la ushindi lil
JOSHUA Mutale ni chaguo la kwanza kwa Meneja Mkuu, Dmitar Pantev je ataanza tena mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika? Orodha ya wachezaji wa Simba SC waliopo kwenye msafara ulioelekea Mali kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien Novemba 30,2025:- Makipa Yakoub Suleiman na Huss
Kikosi cha Simba kimeondoka leo alfajiri kuelekea nchini Mali kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Stade Malien. Maandalizi ya mwisho yamekamilika na wachezaji wamepewa maelekezo ya kimsingi kuhusu mikakati ya mchezo, huku lengo likiwa ni kuendelea na ushindi na kufanikisha maendeleo ya klabu katik
Timu Tatu za Tanzania Zashindwa Kung’ara Katika Michezo ya Kwanza ya Makundi CAF Simba inayoiwakilisha Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, pamoja na Azam FC na Singida Black Stars wanaopeperusha bendera ya nchi katika Kombe la Shirikisho, zimeanza kampeni zao za hatua ya makundi kwa