Sergio Ramos arejea Bernabéu Baada ya Miaka Mitano

ramos

Gwiji wa soka la Hispania Sergio Ramos jana alihudhuria mechi ya Real Madrid dhidi ya Sevilla kwenye Uwanja wa Santiago Bernabéu kama mtazamaji.

Huu ulikuwa wakati wa kipekee kwani ilikuwa mara yake ya kwanza kurejea Bernabéu kama mtazamaji tangu aondoke Real Madrid mnamo 2021.

Real Madrid ilishinda mechi hiyo kwa mabao 2-0 kwa mabao ya Jude Bellingham na Kylian Mbappé.