Browsing: TETESI ZA SOKA

INAELEZWA kuwa Celestin Ecua ambaye ni kiungo wa Zoman FC huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuwa katika kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara…

BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki taarifa kueleza kuwa anaondoka ndani ya kikosi hicho kuelekea Wydad inaelezwa kuwa kuna nyota mwingine tena anaondoka…