Manchester City wanafikiria namna ya kuuteka nyara uhamisho wa Chelsea wa kumnunua winga wa RB Leipzig wa Uholanzi Xavi Simons, 22. (Sport) Brighton watahitaji zaidi ya…
Browsing: TETESI ZA SOKA
INAELEZWA kuwa Yanga SC wamefikia makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wa mabao ndani ya kikosi hicho ambaye ni mzawa namba moja kufunga mabao mengi msimu wa 2024/25.…
Mshambuliaji wa Slovenia kutoka RB Leipzig, Benjamin Sesko (22), anatumia mbinu za kisiasa katika usajili kwa kuzitumia Newcastle na Manchester United kuzipambanisha ili apate dili bora…
WAKATI akitajwa kuwa huenda anaweza kuwa nyeupe na nyekundu kiungo mkabaji Khalid Aucho inaelezwa kuwa mpango huo ni ngumu kukamilika. Tetesi zimekuwa zikieleza kuwa Simba SC…
Unaweza kuliita pigo kuu kwa timu ya taifa ya Kenya, maarufu kama ‘Harambee Stars’ inayoshiriki michuano ya CHAN 2024, baada ya kiungo wao fundi Mohammed Bajaber…
Klabu ya Simba SC imesitisha mchakato wa kumpa mkataba beki wa kushoto Khadim Diaw kutoka Al Hilal na wameweka nguvu kwa Pascal Msindo wa Azam FC…
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kocha Fadlu amepiga pause baadhi ya sajili kuelekea msimu ujao akiwataka viongozi kutafuta Quality zaidi na kama watakosa basi ndio…
WAKATI jina la kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum likitajwa kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatwa kwenye sanduku la usajili la Simba SC katika kina…
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka ndani ya…
NI kama vile mabosi wa Simba sasa wameamua kujibu kwa vitendo baada ya kuwepo kwa kelele nyingi mtandaoni juu ya kushindwa kufanya usajili na badala yake…