Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha kushangazwa na mauno ya Queen Fraison maarufu kama Bonge la Dada, kupitia video iliyosambaa mtandaoni. Kupitia ukurasa…
Browsing: KITAIFA
KATIKA kurejesha kwa jamii wachezaji, Nassor Kapama ambaye ni kiungo wa Kagera Sugar pamoja na mshambuliaji wa JKT Tanzania, Mohammed Bakari ‘Muddy Beka’ Julai 12, mwaka…
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC Dickson Job huenda akaongeza kandarasi nyingine ndani ya kikosi hicho. Nyota huyo mkataba wake msimu wa 2024/25…
Rais wa Yanga SC, Mkandarasi Hersi Said amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lililopo Jijini Dar es Salaam. Hersi mwenye ushawishi mkubwa katika…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC umeweka wazi dhamira yao ya kuhakikisha wanarejesha nyumbani Kombe la CRDB Federation Cup, wakisisitiza kuwa wao ni mabingwa watetezi licha…
SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini ipo katika harakati za kumsajili kipa wa JKT Tanzania, Yakoub Seleman katika msimu ujao.…
KIUNGO wa Simba SC, Deborah Mavambo ambaye ni ingizo jipya katika kikosi hicho kwa msimu uliogota mwisho wa 2024/25 yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho…
HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Klabu ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, ametangaza nia ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM)…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka waombaji wote wa nafasi ya uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 mwaka huu Jijini Tanga…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wametua Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo…