KITAIFA
-
DOMINICK SALAMBA AFUNGUKA SAKATA LA AZIZ KI YANGA
Mwandishi Nguli wa Michezo nchini Dominick Salamba amefunguka sakata la kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado kusaini nyongeza ya mkataba…
Read More » -
CHUMA CHA KAZI KIMEANZA BALAA HUKO JANGWANI
CHUMA cha kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Prince Dube kimeanza kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25…
Read More » -
“NABI” USO KWA USO NA “GAMONDI”, YANGA VS KAIZER CHEIF
Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Yanga SC watashiriki mashindano ya Toyota Cup yanayoandaliwa na klabu ya Kaizer Chiefs…
Read More » -
CHADRACK BOKA ANAENDA KUKAMILISHA VYEMA MFUMO WA GAMONDI
Miguel Gamondi ni muumini wa mfumo wa 4-2-3-1 na hata msimu uliopita michezo mingi uliwaona Yanga SC wakiutumia zaidi mfumo…
Read More » -
SIO TU MPIRA, HATA SINGANO HAIPITI KHOMEINY AKIWA LANGONI
Yanga SC imetangaza kumsajili mlinda mlango Aboubakar Khomeiny kutoka Singida Black Stars. Nyota huyo anaenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na…
Read More » -
AWESU AWESU KUTAMBULISHWA SIMBA, MASHINE NYINGINE KATILI
UONGOZI wa Simba umefanikiwa kunasa saini ya kiungo wa KMC FC, Awesu Awesu kwa mkataba wa miaka miwili baada ya…
Read More » -
KOCHA WA MAKIPA AIPA MKONO WA KWAHERI SIMBA
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena ameipa mkono wa kwaheri klabu hiyo huku akieleza kuwa ulikuwa ni wakati…
Read More » -
SIMBA YASHUSHA MBAVU YA KUSHOTO
Simba SC imetangaza kumsajili mlinzi Valentin Nouma raia wa Burkina Faso kwa mkataba wa miaka mitatu. Nyota huyo mwenye umri…
Read More » -
FEISAL KWA SASA YUPO HAPA, KAZI INAENDELEA
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo Feisal Salum bado yupo ndani…
Read More » -
RASMI PRINCE DUBE ATAMBULISHWA YANGA
Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube baada ya kipindi kirefu na kumalizana na mabosi zake wa zamani Azam Fc sasa ni rasmi…
Read More »