KITAIFA
-
MWAMBA ABUYA KWENYE ANGA ZA KIMATAIFA YANGA
MWAMBA wa kazi Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa na uzi…
Read More » -
KAMA UNAMTAKA MAYELE UWE NA BILIONI TATU MKONONI
Taarifa za uhakika kutoka nchini Misri ni kwamba Pyramid FC iko tayari kukaa mezani na klabu yoyote inayomtaka Fiston Kalala…
Read More » -
MKUDE KUONDOKA YANGA, KOCHA AMKATA
Kiungo Mkabaji Jonas Gerald Mkude hatokuwa tena Sehemu ya Kikosi cha Yanga kwa Msimu Ujao na hii ni baada ya…
Read More » -
KIPRE JR ATANGAZWA KLABU YA MOULOUDIA YA ALGERIA
Klabu ya Mouloudia Algiers ya Algeria imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Azam Fc, Kipré Zunon Junior Kaa mkataba wa…
Read More » -
TABU BADO IPO PALE PALE, AZIZ KI BADO YUPO SANA
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephan Aziz Ki amethibitisha kuwa ataendelea kukipiga mitaa ya Twiga na Jangwani msimu ujao licha…
Read More » -
DUCHU AOMBA KUONDOKA SIMBA…HAJASAFIRI NA TIMU
SIMBA huenda ikamtoa kwa mkopo beki wake wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha…
Read More » -
RASMI KANOUTE AACHANA NA SIMBA, HAIKUTARAJIWA
KIUNGO mgumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute imeisha hiyo ndani ya timu hiyo baada ya kukutana na Thank You. Ipo wazi kuwa Kanoute raia wa…
Read More » -
SIMBA TUMESAJILI KWA KUZINGATIA MAHITAJI
Mwekezaji na Mwenyekiti wa Simba, Mohammed Dewji (MO), amesema wamefanya usajili kwa kushirikiana na benchi la ufundi na maskati kutoka mataifa zaidi…
Read More » -
HAKUNA AZIZ ASIYELIJUA BOLI
Yanga umepata wakina Aziz wawili mafundi kwelikweli wanajua boli wanatimiza majukumu yao ipasavyo Stephan Aziz Ki na Aziz Andambwile. Mmoja…
Read More » -
CR BELOUIZDAD KUMPA AZIZ KI MILIONI 96 KWA MWEZI
Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa CR Belouizdad imetuma ofa ya mkataba wa miaka miwili kwa Aziz Ki ambae amemaliza mkataba…
Read More »