Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Singida BS kufungua michuano ya Mapinduzi leo dhidi ya Singida BS.
    KITAIFA

    Singida BS kufungua michuano ya Mapinduzi leo dhidi ya Singida BS.

    ChikaoBy ChikaoDecember 27, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Singida BS
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Singida Black Stars itacheza mchezo rasmi wa ufunguzi wa michuano ya Mapinduzi Cup dhidi ya Mlandege siku ya leo katika dimba la New Amaan majira ya saa 10:15 jioni.

    Singida Black Stars tayari imewasili visiwani Zanzibar siku ya jana na kufanya mazoezi ya kurejesha utimamu wa miili ya wachezaji ili kujiweka sawa kuelekea mtanange huo.

    “Singida Black Stars tumepata heshima kubwa kucheza mechi ya kwanza ya uzinduzi wa Kombe la Mapinduzi 2026” Amesema Meneja Habari na Mawasiliano wa timu hiyo – @massanzajr

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHiba Abouk Aomba Msamaha kwa Achraf Hakimi Baada ya Talaka, Mashaka Kuhusu Sababu Za Nje
    Next Article Mchezaji Mkongwe Japan asaini mkataba mpya Japan.

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.