HomeKITAIFACHALAMILA KUMZAWADIA GARI KIPA WA STARS ASIPORUHUSU GOLI LEO

CHALAMILA KUMZAWADIA GARI KIPA WA STARS ASIPORUHUSU GOLI LEO

Mkuu wa mkoa wa Dar es saalam Albert Chalamila ametoa ahadi ya zawadi ya gari aina ya Crown kwa kipa wa Taifa Stars endapo hatoruhusu goli katika mchezo wa leo dhidi ya Morocco.

Sambamba na hilo pia mechi ya leo kila goli litanunuliwa kwa Sh Milioni 5 huku mfungaji wa goli atakabidhiwa Sh Milioni 1 na aliyetoa asisti atapewa Sh Laki 5 hiyo yote kwaajili ya kuendelea kuhamasisha timu ya taifa iweze kufanya vizuri.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE