Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » BARCELONA YAVUNA ZAIDI YA BILIONI 130 KUITANGAZA CONGO
    KIMATAIFA

    BARCELONA YAVUNA ZAIDI YA BILIONI 130 KUITANGAZA CONGO

    ChikaoBy ChikaoAugust 2, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limetangaza rasmi kuingia makubaliano ya udhamini wa miaka minne na mabingwa wa Hispania FC Barcelona wenye thamani ya Bilioni 134 kwa ajili ya kuvutia utalii na kuhamasisha uwekezaji kutoka nje ya Taifa lao.

    Kutokana na mkataba huo wachezaji wa Barcelona wataanza kuvaa jezi za mazoezi zenye maandishi “DR Congo “Moyo wa Afrika” kuanzia msimu ujaohuku pia ikihusisha kambi za mafunzo kwa vijana, maonyesho ya utamaduni wa Kongo kwenye uwanja wa Camp Nou, pamoja na programu mbalimbali za michezo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA YAMTAMBULISHA CÉLESTIN ECUA KUTOKA IVORY COAST
    Next Article Siku ya kihistoria kwa Taifa la Tanzania ufunguzi wa michuano ya CHAN.

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.