Habari Mpya
Habari 884 · Ukurasa 36 kati ya 59

YANGA YATENGA BILIONI 33 KATIKA MSIMU HUU WA 2025/26
Makamu wa Rais wa klabu ya Yanga @arafat__ahametangaza bajeti ya klabu kwa msimu wa 2025/26 kuwa ni Shilingi Bilioni 33 za Kitanzania. MAPATO • Udhamini na Haki za Matangazo: 11,430,468,874 • Mapato ya Milangoni: 1,971,058,386 • Ada za Uanachama: 10,152,109 • Zawadi za Ushindi: 6,425,950,640 • Mapat

Barcelona, Liverpool na Madrid vitani kumgombea Marc Guehi
Barcelona wako tayari kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kumnunua nahodha wa Crystal Palace Marc Guehi ambaye pia anawaniwa na Liverpool pamoja na Real Madrid. Guehi mwenye umri wa miaka 25 amebakiza mwaka mmoja pekee katika mkataba wake na Crystal Palace, ataweza kusaini mkataba wa awali wa kandaras

MBEYA DAY NI LEO KUNOGESHWA NA MECHI KALI DHIDI YA AZAM FC
PAZIA la Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora linakaribia kufunguliwa ikiwa ni siku zinahesabiki kwa kuwa Septemba 17 kazi inatarajiwa kuanza. Leo kuna tamasha kubwa nyanda za juu Kusini, ambapo Mbeya City iliyorejea kwa mara nyingine ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni

MIKE TYSON KUZICHAPA NA FLOYD MAYWEATHER
Mabingwa wa zamani wa dunia katika masumbwi, Mike Tyson na Floyd Mayweather, wanatarajiwa kukutana ulingoni kwa pambano la maonyesho mwaka 2026. Kampuni ya yenye kujihusisha na mchezo wa masumbwi, CSI Sports, imetangaza pambano hilo kati ya Tyson, ambaye atatimiza miaka 60 mwaka ujao, na Mayweather

RC MAKALLA AKAGUA UWANJA WA AFCON ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Amos Gabriel Makalla leo Ijumaa Septemba 05, 2025 ametembea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu utakaotumika kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika ya AFCON mwaka 2027 unaojengwa na serikali kwa gharama ya Shilingi Bilioni 340, kwenye Kata

CLATOUS CHAMA KUWAPA FURANGA SINGIDA BLACK STARS
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba SC aliyekiwasha msimu uliopita akiwa Yanga SC Clatous Chama anatarajiwa kufanya makubwa kwenye ligi kuu msimu ujao akiwa na Singida Black Stars. Kiungo huyo wa Kimataifa wa Zambia amejiunga na walima alizeti wa Singida na kuanza mazoezi rasmi siku ya jana. Mwamba wa

YANGA SC MWENDO WA TUNAPIGA KICHWANI TU
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa kwa sasa Yanga SC hakuna suala la kupeana matumaini bali ni mwendelezo wa dozi pale ambapo waliishia. Ipo wazi kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Kwa sasa wana jambo kubwa la Wiki ya Mwa

SAFU MPYA YA UONGOZI SIMBA SC IPO HIVI
MO Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC hivyo mipango yote itakuwa inaendelea chini ya safu mpya ya uongozi. Mo amebainisha kuwa ameamua kufanya hivyo kutokana na kuhudumu kwa muda mrefu na majukumu yake akiwa mbali ameone ni muhimu Klabu ya Simb

MESSI ATUPIA GOLI 2 MECHI YAKE YA MWISHO ARGENTINA
Ikiwa imetajwa kuwa huenda ilikuwa mechi yake ya mwisho ya ushindani akichezea nyumbani, Lionel Messi alifunga mabao mawili na kuiongoza Argentina kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Venezuela katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA kwenye Uwanja wa Estadio Monumental jijini Buenos Aires Alfaji

TAIFA STARS KUINGIA KAZINI LEO
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Septemba 5 2025 kitakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Congo Brazzaville ambao ni maalumu kwa ajili ya kufuzu kombe la Dunia 2026 utakaochezwa Uwanja wa Alphonce Masamba Debat. Septemba 4 2025 Stars ilifanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa amb

NEYMAR AACHIWA URITHI WA TRIL 2+ NA MTU ASIEMJUA
Nchini Brazil kumeibuka simulizi ya kushtua baada ya bilionea mwenye umri wa miaka 31 kutoka jimbo la Rio Grande do Sul kuamua kumwachia nyota wa soka Neymar Jr mali zake zote, licha ya wawili hao kutokuwa na uhusiano wowote wa karibu au hata kukutana ana kwa ana. Kwa taarifa za vyombo vya habari vy

MBEBA MIKOBA YA AZIZ KI YANGA SC BALAA LAKE ZITO
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz anatajwa kuwa na balaa zito kwenye uwanja wa mazoezi. Ni kiungo ambaye anatajwa kuwa mbeba mikoba ya nyota Aziz Ki ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC msimu wa 2025/26 baada ya kupata changamoto mpya. Anaitwa

Paul Pogba rasmi kukiwasha ligi ya Mabingwa Ulaya.
Klabu ya AS Monaco imemjumuisha mchezaji Paul Pogba katika kikosi kitakachoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu wa 2025/26. Pogba ambaye alijunga na Monaco kama mchezaji huru mwishoni mwa mwezi Juni baada ya kumaliza kifungo chake cha miaezi 18 alichohukumiwa kwa kosa la kutumia m

HAZARD ANAAMINI MESSI NDIO MPIGA CHENGA ZAIDI KULIKO YEYE
Nyota wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard ametupilia mbali mastaa Cristiano Ronaldo, Lamine na Neymar huku akimtaja Lionel Messi kuwa ndiye mpiga chenga mkali kuliko yeye. Hazard alizungumza hayo katika video iliyorushwa kwenye akaunti ya X ya UEFA Champions League. Kwenye video hiyo mw

