Klabu ya Azam FC siku ya leo itakuwa uwanjani majira ya saa 10:15 jioni kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza. Azam FC watakuwa ugenini dhidi ya KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa mkondo wa kwanza ambao pengine ukawapa matumaini ya kuandika historia
Nsingizini Hotspurs vs Simba SC, mchezo unaofuata kwa Simba SC katika anga la kimataifa ikiwa ni CAF Champions League unatarajiwa kuchezwa ugenini. Hii ni kete ya kwanza kimataifa kwa Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev huku wachezaji wapya wa timu hiyo ikiwa ni Neo Maema, De Reuck wakipewa anga
MABORESHO ya benchi la ufundi la Simba yanaendelea, baada ya ujio wa Dimitir Pantev na msaidizi wake, Simeonov Boyko Kamenov waliotokea Gaborone United ya Botswana, sasa ameshushwa mtu mwingine. Simba SC imemshusha kwa siri sana kocha wa makipa kutoka Bulgaria kwa ajili ya kuimarisha benchi la ufund
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia Uwanja wa Sokoine uliopo jijini Mbeya kutumika kwa michezo ya Ligi, kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kikanuni na masharti ya sheria za mpira wa miguu. TFF imesema miundombinu ya uwanja huo haikidhi matakwa ya Kanuni za Leseni za Klabu,
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amefunguka kuwa wakati anapewa jukumu la kuiongoza klabu hiyo, baadhi ya wanachama na mashabiki hawakuwa na imani naye kutokana na umri wake kuwa mdogo ukilinganisha na viongozi waliowahi kuiongoza timu hiyo hapo awali. Akizungumza kuhusu safari yake ndani
Saudi Arabia itakuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la 2034 litakalochezwa mnamo Januari 2035, badala ya ratiba ya kawaida ya Novemba hadi Disemba, mabadiliko ya kihistoria yaliyofanywa ili kuzuia mwingiliano na Ramadhani. Ripoti zinaonyesha uamuzi huo unalenga kuhakikisha wachezaji Waislamu wanaweza ku
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa haukubaliani na vitendo vya kihuni kwenye mpira wa miguu kwa kuwa unarudisha nyuma maendeleo ya wachezaji na timu kiujumla. Simba SC inapeperusha bendera katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya pili inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kimataifa dhidi ya Nsi
KAMPENI ya Simba SC ambayo ina lengo la kutokomeza jezi feki inaendelea ambapo Wananchi wamezidi kupewa elimu kuhusu faida za kununua jezi Original. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa kununua jezi Original ni jambo ambalo kila Mtanzania anapaswa kujivunia
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda, kupisha uchunguzi wa kina kuhusu jinsia yake. Hatua hii imekuja baada ya sintofahamu kuibuka mitandaoni na katika baadhi ya duru za michezo, ambapo mashabiki n
Djigui Diarra Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba 2025/2026 Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/2026, baada ya kuonesha kiwango cha juu katika michezo miwili ambayo timu
Maswali mbalimbali ya usaili yanayoweza kuulizwa kwa waombaji wa nafasi ya kusimamia uchaguzi mkuu, Maswali haya ni kwa Makarani, wasimamizi wasaidizi na wasimamizi wakuu wa vituo. Maswali ya usaili kusimamia uchaguzi Elezea kwa kifupi lengo la uchaguzi mkuu utakaofanyika 29 october 2025 Uchaguzi ut
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mhe. Gerson Msigwa, amekanusha taarifa zinazosambaa kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa kwa miezi sita. “ACHENI KUPOTOSHA. Hatujatangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa miezi 6 kama baadhi ya watu wanavyopotosha. Tumekaa na TFF na pia timu za Yanga na Simba zilioo