Mabingwa wa ligi kuu wanawake Tanzania, JKT Queens wanaowakilisha Tanzania kwenye michuano rasmi ya kimataifa wamepangwa kundi C kwenye michuano ya kuwania kufuzu michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika ukanda wa CECAFA.
JKT wamepangwa kundi C wakiwa na timu za Yei Joint Stars Fc ya Sudan Kusini na JKU Princesses FC ya Zanzibar.
Makundi mengine ni haya hapa chini