HomeKITAIFAOpa Clement awa rasmi Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu Hispania

Opa Clement awa rasmi Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu Hispania

Nahodha wa timu yaTaifa ya wanawake Tanzania ‘Twiga Stars’ Opa Clement ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya SD Eibar ya ligi kuu wanawake nchini Hispania.

Opa nahocha wa zamani wa Simba Queens na Besitkas ya Uturuki amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi June 2026 akitokea timu ya FC Juarez ya nchini Mexico.

Opa anakuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu Hispania.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE