Home KITAIFA YANGA KUKIPIGA DHIDI YA BANDARI YA KENYA

YANGA KUKIPIGA DHIDI YA BANDARI YA KENYA

34
0
yanga

Klabu ya Bandari ya Kenya imeripotiwa kuwa wageni wa Mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga kwenye kilele cha WIKI YA MWANANCHI sherehe zitakazofanyika Septemba 12, 2025, Mechi itachezwa Benjamin Mkapa.

Bandari anayoichezea kipa wa zamani wa Yanga Farouk Shiklao inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Yanga kwaajili ya kutambulisha wachezaji wapya kwa mashabiki.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here