Home KITAIFA SINGIDA BS YAANZA MAZOEZI YA KWANZA KIGALI, RWANDA

SINGIDA BS YAANZA MAZOEZI YA KWANZA KIGALI, RWANDA

47
0

Klabu ya Singida Black Stars imeanza mazoezi kwenye ardhi ya ugenini Kigali Rwanda mara tu baada ya kuwasili Nchini humo kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Rayon Sports.

Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu wamefanya mazoezi ya kwanza Nchini humo asubuhi ya leo katika dimba la Pele litakalotumika kwenye mchezo wao Jumamosi septemba 20,2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here