
Kimataifa
LUKAKU ATIMKIA LIGI KUU YA UTURUKI
Klabu ya FENERBAHCE imeripotiwa kufikia makubaliano ya kumsaini mshambuliaji raia wa Ubelgiji Romelo Lukaku. Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, Makubaliano ya mdomo yamefikiwa na Napoli kwa ada ya zaidi ya Euro milioni 6, huku nyaraka na taratibu za kimaandishi zikipitiwa leo ili kukamilisha dili hilo.













