KIMATAIFA
-
ARTERTA AKUBALI KUSAINI MIAKA 3 ARSENAL, SASA MPAKA 2027
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amekubali kusaini kandarasi mpya ya miaka 3 itakayomuweka kwenye Uwanja wa Emirates hadi mwaka 2027…
Read More » -
RAHEEM STERLING WA ARSENAL AJA KIVINGINE ABATIZWA NA KUGEUKIA UKRISTO
Mchezaji wa Asernal aliyejiunga kwa mkopo kwenye klabu hiyo akitokea Chelsea Raheem Sterling Muingereza mwenye asili ya Jamaica amebatizwa na…
Read More » -
MAN CITY YAPATA PIGO KWA BEKI WAO KUUMIA UHOLANZI
Klabu ya Manchester City imepata pigo baada ya beki wao wa kati Nathan Ake kuumia akiwa kwenye majukumu ya timu…
Read More » -
POCHETTINO ATANGAZWA KUWA KOCHA MKUU MAREKAN
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Totenham Hotspurs, PSG na Chelsea Mauricio Pochettino ametangazwa kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa…
Read More » -
BRAZIL NA ARGENTINA ZAPASUKA VIBAYA HUKO AMERIKA KUSINI
Usiku wa kuamkia leo mataifa mawili makubwa kwenye soka kutokea Bara la Amerika Kusini Brazil na Argentina yamechezea vichapo kwenye…
Read More » -
MESSI AMUANDIKIA BARUA YA WAZI DI MARIA, BAADA YA KUSTAAFU
Baada ya jana Argentina kuwachapa Chile 3-0 nyumbani, nahodha wa timu hiyo Lionel Messi alimtumia barua ya wazi ya kushukuru…
Read More » -
UEFA NATIONS LEAGUE KUTOA MAMILIONEA LEO
Unaweza kushinda mamilioni leo kwa kubashiri michezo mbalimbali ya michuano ya Uefa Nations League ambayo itapigwa leo, Kwani kipindi hiki…
Read More » -
Kwa Ureno ukiacha Ronaldo, Bernardo Silva ndiye mchezaji mwingine ninayempenda – Modric
Kiungo wa kati wa Croatia, Luka Modric, amemtaja Bernardo Silva kama mchezaji mwingine wa Ureno anayempenda mbali na Cristiano Ronaldo.…
Read More » -
Waarabu wanamtaka Mateo Kovacic kwa mshahara wa Bilioni 2.7 kwa wiki
Klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia wanalenga kumsajili Mateo Kovacic kwenye dirisha dogo la usajili la mwezi Januari 2025. Klabu…
Read More » -
TEN HAG BADO YUPO SANA UNITED – C.E.O ASEM
Baada ya mfululizo wa matokeo mabaya tangu kuanza kwa msimu wa ligi kuu Uingereza 2024-25 Afisa mtendaji mkuu wa klabu…
Read More »