Timu Za Afrika Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026 na Nafasi Zao Kwenye Michuano Kombe la Dunia 2026 litakuwa moja ya mashindano makubwa zaidi katika historia ya soka duniani, likiwa la kwanza kushirikisha timu 48 na zaidi ya mechi 100. Michuano hiyo itafanyika Marekani, Mexico na Canada kuanzia Juni 11
Ratiba ya Kombe la Dunia 2026: Mechi Zote, Tarehe, Viwanja na Makundi Kombe la Dunia 2026 litafanyika kuanzia Juni 11 hadi Julai 19, likiwa ni toleo la kwanza la mashindano hayo kuwa na timu 48 na zaidi ya mechi 100. Michuano hiyo itachezwa katika nchi tatu za Amerika Kaskazini: Marekani, Mexico na
Kiungo wa klabu ya Real Madrid, Federico Valverde na mwenzake Aurélien Tchouaméni wanadaiwa kuingia kwenye ugomvi mkubwa wakati wa mazoezi ya timu hiyo, huku mvutano wao ukielezwa kuendelea hadi ndani ya chumba cha kubadilishia nguo. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali zinazozunguka kwenye vyombo vya h
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amethibitisha rasmi kuwa Iran national football team itashiriki FIFA World Cup 2026 licha ya mvutano wa kisiasa kati ya United States, Israel na Iran.Akizungumza kwenye mkutano wa FIFA uliofanyika Vancouver Aprili 30, 2026, Infantino alisisitiza.Hakuna shaka Iran itas
Chelsea FC wanaweza kufikiria kumuachia Cole Palmer endapo ofa kubwa ya takribani £130M (karibu Tsh bilioni 410+) itawasilishwa majira haya ya joto.Kwa sasa, Real Madrid na Paris Saint-Germain ndizo klabu zinazotajwa kuwa na uwezo wa kufikia thamani hiyo. Palmer, aliyesajiliwa kwa £42.5M, angeleta f
Mambo yamezidi kuwa magumu kwa Real Madrid katika mbio za kuwania ubingwa wa La Liga, baada ya kupoteza alama muhimu kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Real Betis ugenini, katika dimba la La Cartuja jijini Sevilla. Real Madrid walianza vyema mchezo huo, wakitangulia kupata bao kupitia Vinicius Junior map
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Misri (EFA) limewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana mwamuzi na wasaidizi wake waliohusika katika mchezo wa daraja la pili kati ya Tanta na Telecom Egypt, kufuatia kitendo cha ajabu cha kutumia simu ya mkononi kama “VAR ya mchongo”. Katika hali iliyozua mshangao
Nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva (31), rasmi ameagwa na klabu hiyo kufuatia kumalizika kwa mkataba wake, akihitimisha safari yake ya kihistoria jijini Manchester. Silva, aliyejiunga na City akitokea AS Monaco mwaka 2017, ameacha alama kubwa baada ya kucheza zaidi ya mechi 450 na kuchangia
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limethibitisha rasmi kuwa mashindano ya kihistoria ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ya mwaka 2027, maarufu kama “Pamoja Bid”, yatafanyika kuanzia Juni 19 hadi Julai 18, 2027. Mashindano hayo yatakayozikutanisha nchi za Tanzania, Kenya, na Uganda kama we
Amesema mchezaji kylian Mbappe 🗣“Kama ningelazimika kuchagua kati ya nchi ya baba yangu, Cameroon, au nchi ya mama yangu, Algeria, ningesema nilikulia zaidi katika utamaduni wa Cameroon. Nilikuwa karibu zaidi na familia yangu ya Cameroon.” “Nchi si kama klabu. Mimi ni Mfaransa, nilikulia Ufaransa.
Inter Miami wanapanga kumsajili kiungo wa Manchester City Bernardo Silva. Kulingana na TyC Sports, klabu hiyo ya Marekani inatumai kumnasa kwa uhamisho wa bila malipo msimu huu wa joto lakini itakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa vilabu vya barani Ulaya. Mkataba wa Silva na City unamalizika mwi
Kiungo nyota wa zamani wa Ufaransa, Zinedine Zidane, amekubali rasmi kurithi mikoba ya Didier Deschamps kama Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Ufaransa baada ya kumalizika kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa, Zidane anatarajiwa kuchukua jukumu hilo mara baada ya mic
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka la Senegal Abdoulaye Sow ameweka wazi msimamo wa Taifa lake la Senegal kuhusiana na maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya CAF ya kuwapa ubingwa wa AFCON 2025 Timu ya taifa ya Morocco. “Kombe halitaondoka nchini! Shirikisho la soka Afrika limeoza, na majibu kutoka duniani ko
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Richarlison, ameibuka shujaa wa Tottenham Hotspur baada ya kufunga bao la dakika za lala salama na kulazimisha sare ya 1-1 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza uliopigwa Jumapili jioni. Mchezo ulianza kwa kasi huku Liverpool wakionekana kudha
West Ham United wamewalazimisha Manchester City kwa sare ya 1–1 katika mchezo wa Premier League uliokuwa na ushindani mkubwa. City walitangulia kufunga kupitia Bernardo Silva dakika ya 31, lakini West Ham wakajibu haraka kupitia Konstantinos Mavropanos dakika ya 35, na kuifanya mechi hiyo kumalizika