KHALID Aucho kiungo mkabaji wa Yanga SC huenda akaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Jangwani. Yanga SC ni mabingwa wa ligi…
Author: Chikao
FEISAL Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC kuna asilimia ndogo kuondoka kwenye viunga hivyo kutokana na dau ambalo mabosi wamemuongezea kuelekea msimu wa 2025/25. Taarifa zilikuwa…
INAELEZWA kuwa Celestin Ecua ambaye ni kiungo wa Zoman FC huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuwa katika kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
MABINGWA mara 31 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC inatajwa kuwa imefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kwa ajili ya…
SIMBA SC iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC 2024/25 bado ipo kwenye mchakato wa kuendelea kujenga kikosi. Ikumbukwe…
Rulani Mokwena ametambulishwa rasmi na MC Alger kuwa kocha mkuu wa Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Nchini Algeria akichukua nafasi ya Khaled Ben Yahiam aliyepewa…
Klabu ya Simba Queens imetangaza kuachana na wachezaji 11 waliohudumu katika kikosi chao katika misimu iliyopita. Wachezaji hao ambao wamepewa mkono wa kwaheri na wekundu wa…
Tetesi Za Usajili Yanga Leo 2025/2026 | Habari Mpya za Usajili Yanga SC Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), Yanga SC, wameanza…
Huyu Hapa Kocha Mpya wa Yanga 2025/2026: CV Yake ni Moto Klabu ya Yanga SC imethibitisha rasmi kuwa tayari ina kocha mpya kwa ajili ya msimu…
KIUNGO wa Yanga SC Pacome Zouzoua ambaye mkononi ana tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC msimu wa 2024/25 ndani ya…