CV ya Moussa Balla Conte Mchezaji Mpya wa Yanga Sc 2025/2026 Klabu ya Yanga imekamilisha dili la kiungo wa ulinzi mwenye uwezo mkubwa, Moussa Balla Conte,…
Author: Chikao
AZAM FC matajiri wa Dar wamepanga kutumia michuano ya Kimataifa Afrika (Chan) kwa ajili ya kufanya usajili wa msimu ujao wa 2025/26. Ipo wazi kwamba CHAN…
Mchezaji wa Real Madrid, Jude Bellingham kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha akiwa kweye kitanda cha Hospitali ikiwa ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa jeraha…
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwatuliza mashabiki wa Simba huku akithibitisha kuwa ni kweli…
Beki wa kati wa klabu ya Simba raia wa Cameroon Che Malone Fondoh huwenda akaondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu ya USM Alger inayoshiriki ligi…
NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen msimu wa 2024/25 kuna uwezekano mkubwa akaibukia ndani ya kikosi cha Yanga SC akiwa ni mchezaji huru. Ikumbukwe kwamba Zimbwe…
Shomari Kapombe anaripotiwa kuwa tayari amekubaliana na klabu ya Simba kuhusu kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, licha ya mkataba wake wa awali…
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kwamba kazi inaanza kwenye usajili kwa kuwa kuna wachezaji wengine wa maana watatambulishwa hivi karibuni. Mpango mkubwa wa Yanga SC…
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kwamba utafanya kweli kwenye usajili hivyo mashabiki wasiwe na presha mipango inaendelea. Ikumbukwe kwamba timu hiyo msimu wa 2024/25 ilikosa mataji…
Kiungo fundi wa kimataifa, Debora Fernandes Mavambo (24), mwenye uraia pacha wa Congo-Brazzaville na Gabon, ameaga rasmi klabu ya Simba SC, takribani mwaka mmoja tu tangu…