Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC, Hasheem Ibwe, amesema moja ya uwekezaji mkubwa wa maana ilioufanya msimu huu ni kumpata, Florent Ibenge, ambaye wana matumaini…
Author: Chikao
Mchezo wa Madagascar na Afrika ya Kati umemalizika kwa Madagascar kushinda 2-0. Masikitiko makubwa ni namna mashabiki wa soka Tanzania hususani Dar es Salaam walivyojikausha kujitokeza…
Klabu ya Royal Charelorioi ya nchini Ubelgiji imetuma ofa ya USD 750,000 (Tsh Bilioni 1.9) kwenda kwenye klabu ya Gor Mahia ya Kenya ili kuinasa saini…
“Yanga walishataka kumpeleka Clement Mzize huko Singida kwa mkopo na tayari walishamuingiza kwenye Mfumo ‘system’ ya TFF ila ni mimi nikamwambia Nabi usikubali huyo Mtoto aende…
Everton wametangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Jack Grealish kwa mkopo kutoka Manchester City. Mwingereza huyo mwenye umri wa miaka 29 ataitumikia The Toffees msimu mzima…
Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) imeipiga Kenya faini ya dola 50,000 za Marekani (sawa na takribani TZS milioni 127.8) kutokana na…
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26 ni Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameachiwa msala kwenye suala la usajili baada ya kupewa jukumu hilo kuhakikisha kwamba…
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi kuwa tamasha lao la kila mwaka la ‘Singida Big Day’ litafanyika mwaka huu kwa mara ya kwanza jijini Arusha…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Alexander Isak amesisitiza kuwa hatacheza tena Newcastle – hata kama hatapata timu kwenye dirisha hili la uhamisho. Kulingana na David Ornstein,…
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa kuna ugumu wa kufanya sherehe za wiki ya wananchi kwa mwaka huu kutokana…