MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC 2025/26 Jonathan Sowah raia wa Ghana ametuma ujumbe kwa mashabiki kwa kubainisha kuwa watafurahi msimu mpya. Nyota huyo yupo kambini nchini…
Author: Chikao
KAMA unadhani Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamemaliza usajili, bado kazi haijaisha kwa kuwa kuna wachezaji wengine wapya bado hawajatambulisha. Ikumbukwe kwamba Yanga…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo ya Aug 09
Manchester United na Chelsea wapo kwenye mazungumzo ya kuuziana mchezaji Mu-Argentina Alejandro Garnacho. United inamthaminisha Alejandro mwenye umri wa miaka 21 kwa Pauni milioni 50, ingawa…
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Agosti 9 2025 inatarajiwa kucheza mchezo wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani…
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba amethibitisha kuwa mchezaji wao mpya ameanza kwenye kikosi cha timu yake ya Taifa katika mashindano ya CHAN na…
KLABU ya Yanga ipo katika mazungumzo ya mwishoni katika kuipata saini ya winga wa Singida Black Stars, Edmund John ili awe sehemu ya kikosi hicho katika…
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Agosti 9 2025 inatarajiwa kucheza mchezo wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani…
Kocha Mkuu wa @singidablackstars ameanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu mpya wa mashindano wa mwaka 2025/26. Gamondi ambaye aliwahi kuwa kocha mkuu wa…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo ya Aug 08 , 2025