Home KIMATAIFA ISAK KUTOKUICHEZEA TENA NEWCASTLE HATAKAMA AKIKOSA TIMU

ISAK KUTOKUICHEZEA TENA NEWCASTLE HATAKAMA AKIKOSA TIMU

148
0
isak

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Alexander Isak amesisitiza kuwa hatacheza tena Newcastle – hata kama hatapata timu kwenye dirisha hili la uhamisho.

Kulingana na David Ornstein, mshambuliaji huyo anachukulia kazi yake ya #NUFC kuwa imekamilika.

Hata kama Newcastle watakataa kumuuza, hana hamu ya kujumuishwa tena kwenye kikosi cha 1 na kucheza mechi nyingine.

Advertisement

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here