
Kitaifa
TAREHE HII YATANGAZWA MECHI ZA LIGI KUU KUREJEA
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara TPLB imetangaza rasmi kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu tarehe 08 mwezi Novemba, 2025 baada ya kusitishwa siku kadhaa zilizopita kutokana na sababu za kiusalama. Novemba 8 itachezwa michezo miwili ambapo Pamba Jiji atamkaribisha Singida BS CCM Kirumba saa 10 jioni na saa








