Simba Baada ya Kumaliza Mechi ya awali ya CAF Champions League na kumaliza wakiwa na ushindi wa magoli mawili Moja la Ugenini na lingine Nyumbani, Kwa sasa Mchezo unaofwata ni dhidi ya Nsingizini Hotspurs kutokea Eswatini, Mchezo ambao unatarajiwa kuchezwa 17 Oktoba 2025 katika mkondo wa kwanza, Simba wakianzia ugenini.
Nsingizini Hotspur wameingia katika hatua hii baada ya kumuondoa Simba Bhora kutokea Zimbwabe kwa mikwaju ya penati baada ya mechi zote mbili kumalizika kwa magoli sawa 1:1 ambapo mechi ya kwanza Nsingizini walianzia ugenini na wakapokea kichapo cha goli moja na mchezo wa arudiano wakiwa nyumbani walifunga goli moja ndio mchezo ukaenda katika matuta.
TAZAMA UCHAMBUZI WOTE HAPA CHINI























